.

VIJANA WA TANZANIA NA CAMEROON KUFA NA KUPONA TAIFA LEO

Apr 9, 2011

Wachezaji wa timu ya vijana chini ya miaka 23 (U23), wakiwa kambini kwenye hoteli moja iliyopo, hukooo Kigamboni, Dar es Salaam, jana, tayari kwa mpambano wao leo na timu ya Cameroon, kwenye Uwnaja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Chachandu Daily inaitakia kila la kheri na ushindi mnono timu hiyo katika mechi hiyo muhimu ya marudiano

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช