.

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AKUTANA NA TIMU ZA MICHEZO ZA IKUKU ZANZIBAR NA DAR

Apr 23, 2011

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana  na wanamichezo wa Timu za Ikulu ya Zanzibar na Ikulu ya Dar es Salaam,wakati timu hizo zilipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais,ambapo  zitakuwa na mapambano mbali mbali, katika kukuza ushikiano wa pamoja. 
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wanamichezo wa Timu za Ikulu ya Zanzibar na Ikulu ya Dar es Salaam,wakati timu hizo zilipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais,ambapo  zitakuwa na mapambano mbali mbali,katika kukuza ushikiano wa pamoja.
Wanamichezo wa  Timu za Ikulu ya Zanzibar na Dar es Salaam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Dk ALi Mohamed Shein,akiwaaidhi walipofika Ikulu Zanzibar,leo.(Picha na Ramadhan Othman, IKulu)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª