.

ZIARA MAMA SHEIN KUSINI UNGUJA

Apr 24, 2011

MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akikata Utepe kuashiria kuweka jiwe la msingi la Jengo la Ushirika wa Saccos ua Muelekeo Mwema ilioko Kijiji cha  Mtende Mkoa wa Kusini Unguja wakati wa ziara yake ya kutembelea Vikundi vya Ushirika vya Wanawake vya Mmkoa huo, leo .(Picha na Othman Maulid
Kina mama wakiwa kweye mkutanao huo wa Mama Shein
MKE wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Asha Seif Balozi akitowa nasaha
zake kwa Wanavikundi  wa Ushirika vya Mkoa wa Kusini Unguja katika viwanja vya skuli ya Kiongoni
Makunduchi wakati wa Ziara ya Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shein.(Picha na Othman Maulid)
MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza  la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akiwahutubia Wanavikundi vya Ushirika katika Kijiji cha Makunduchi katika viwanja vya Skuli ya Kiongoni, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kusini Unguja jana.(Picha na Othman Maulid)

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช