.

SERENGETI SOCCER BONANZA LAFANA LEADERS' CLUB

Apr 7, 2011

Mchezaji wa timu ya mashabiki wa  Barcelona (kushoto) akipambana na mchezaji wa timu ya mashabiki wa Bacelona, katika michuano ya timu za mashabiki wa timu za UEFA,  ya Serengeti Fiester Soccer Bonanza, kwenye viwanja vya Leaders' Club, Dar es Salaam. Timu ya mashabiki wa Arsenal iliibukaa na ushindi wa mabao 4-0. 
SHAKIBI wa Barcelona, mchezaji  wa zamani wa Yanga, Ben Mwalala (kushoto) akitahayari baada ya shuti lake kudakwa na kipa, timu ya mashabiki wa Arsenal  Benson  Baraka, timu za mashabiki wa timu za michuano ya kombe la Ulaya (UEFA) walipomenyana katika michuano ya Serengeti Fiesta Soccar, kwenye viwanja vya Leaders' Club, Dar es Salaam, leo. Timu ya mashabiki wa Arsenal iliibuka na ushindi wa mabao 4-0. 
Bendi ya Mashujaa ikitumbuiza mashabiki katika bonanza hilo 
Wacheza shoo wa Mashujaa Musica, wakionyesha mavituz yao 
Mashabiki wakajimwaya-mwaya kusakata muziki wa bendi ya mashujaa kama hivi...

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª