.

TAHADHARI KABLA YA AJALI

Apr 14, 2011

Watoto ambao ni wanafunzi katika shule ya msingi, Uhuru Mchanaganyiko, wakivuka barabara kwa kukimbia kwa hofu ya kugongwa na magari ya madereva wasio makini, leo, katika eneo la  Karume, Ilala, Dar es Salaam.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช