.

TAMASHA LA FILAMU ZA NCHI ZA KIASIA KUFANYIKA 15-24 APRIL, MWAKA HUU, NEW WORLD CINEMA: KIINGILIO BUREEEEE

Apr 14, 2011

Wawakilishi wa nchi za Asia zinazoandaa Tamasha la filamu za nchi za bara hilo, wakiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari, leo kwenye Ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) Dar es Salaam, kutangaza tanasha hilo litakalofanyika,  mwezi huu.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช