.

TAMASHA LA TATU LA KITAALUMA LA KIGODA CHA MWALIMU JULIUS NYERERE UDSM LEO

Apr 12, 2011

Profesa Bereket Selassie (kushoto) wa Ethiopia, akijibu moja ya hoja zilizokuwa zikitolewa na washiriki katika Tamasha la tatu laKitaaluma la Mwalimu Nyerere, lililoandaliwa na Taasisi ya Kigoda cha Mwalimu Nyerere, na kufanyika leo katika ukumbi wa Nkrumah, Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, Katikati ni Makamu Mwenyekiti wa chuo hicho, Profesa Lwekaza Mukandara na kulia ni Mwenyekiti wa Kigoda cha Mwalimu, Profesa Issa Shivji.
Wadau wakiwa kwenye tamasha hilo la Kigoda cha Mwalimu
BALOZI wa Nchi za Ulaya (EU) ambaye pia ni Mkuu wa Mabalozi wa nchi za nje hapa nchini, Tim Clarke (Kulia) akizungumza katika Tamasha hilo.
BAADHI ya wanataaluma wakiwa akwenye banda la maonyesho ya vitabu mbalimbali vya Jinsia na Maendeleo, vilivyletwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) kwenye Tamasha

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช