.

UCHAGUZI KUPATA WAJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM WAFANYIKA DODOMA

Apr 11, 2011

2.Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete,aliyekuwa katibu mkuu wa CCM  Yusuf Rajab Makamba na Rais wa Zanzibar Dkt.Ali Mohamed Shein wakipiga kura kuchagua wajumbe wapya wa Kamati kuu ya CCM wakati wa mkutano wa Halmashauri kuu ya CCM uliofanyika mjini Dodoma leo jioni.
Mzee Kingunge akipiga kura yake katika uchaguzi huo
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigella akipiga kura yake
Wajumbe wakipiga kura zao

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª