.

YANGA YAREJEA DAR KWA KISHINDO NA KOMBE LAO

Apr 11, 2011

Mashabiki waliofurika kwenye Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, katika mapokezi ya Yanga ilipowasili leo. Yanga imewasili na Kombe ililotwaa baada ya kuibuka Bingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa kuifunga 3-0 timu ya Toto, katika mechi ya funga dimba la michuano hiyo iliyopigwa kwenye Uwanja wa Kirumba jijini Mwanza.
Wachezaji na viongozi wa Yanga wakitoka kwenye Uwanja wa Ndege baada ya kuwasili jijini Dar es Salaam leo
Mashabiki wakifurahia kombe
Furaha za aina yake zikitawala miongoni mwa mashabiki waliokuwa kwenye msafara wa mapokezi ya timu hiyoBaadhi ya magari yaliyoshiriki kwenye mapokezi ya timu hiyo

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช