.

MABADILIKO CCM: WILSON MKAMA KATIBU MKUU MPYA, KINANA NAIBU WAKE

Apr 11, 2011

Wilson Mukama (pichani) ameteuliuwa kuwa Katibu Mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Taarifa zilizopatikana kutoka  mjini Dodoma katika kikao  cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Abdurahman Kinana anakuwa Naibu Katibu Mkuu (Bara) wakati Salehe Feruz akiendelea na Unaibu (Zanzibar).
Taarifa zimesema  jahazi  la Itikadi na uenezi lililokuwa chini ya John Chiligati, likienda kwa Nape  Nnauye na Uchumi na Fedha kwa Zakia Meghji.

1 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ª