.

TIMU YA SOKA YA KATA YA KALOLEN INAYOSHIRIKI MICHUANO YA RPC ANDENGENYE YAPATA MSAADA WA MIPIRA KUMI

Apr 12, 2011

Ofisa Itifaki na Uhusiano wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Rodney Thadeus (kulia) akimkabidhi mipira 10 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha (RPC) Thobias Andengenye (kushoto) leo  katika ofisi ya kata ya Kaloleni, kwa ajili ya timu ya mpira wa miguu ya kata ya Kaloleni inayoshirki kombe ya Andengeye linalo hamasisha ulinzi shirikishi mkoani humo. Katikati ni Diwani wa kata hiyo, Charles Mpanda.

0 Comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

ยช