Breaking News

Your Ad Spot

May 1, 2011

DK SHEIN ASHUHUDIA KILIMO CHA KISASA UTURUKI


     Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, Pamoja  na Ujumbe wake wakiangalia Michungwa Iliyooteshwa kwa   utaalamu maalum, ikiwa tayari inatoa machungwa kwa muda wa miezi miwili,katika kituo cha utafiti wa kilimo cha Batem,Mjini Antaliya nchini uturuki akwa katika ziara ya Mualiko wa Serikali ya Nchi hiyo.,(kushoto) ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Batem Dr Suat Yilmaz.
 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages