Breaking News

Your Ad Spot

May 20, 2011

MDAU APONGEZA QUALITY YA PICHA ZA NKOROMO DAILY BLOGU NA MICHUZI

Habari za leo Mr. Nkoromo,
 Nimependa sana quality ya picha zako kwenye blog yako na ya Michuzi,
unatumia camera gani?

Kwa sasa natumia kamera  aina ya Nikon D3100.
Hata hivyo  napenda uelewe kwamba uzuri wa picha kwenye blog, unategemea
zaidi  umahiri wakati wa ku-post kazi. Hii ni kwa sababu Blogger hupokea picha
kutoka kwa wachangiaji mbalimbali ambazo akiwa  mahiri lazima aziboreshe
kabla ya kuzi-post.
ASANTE!

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages