Breaking News

Your Ad Spot

May 19, 2011

MISS UNIVERSE KUTEMBELEA KITUO CHA MAKUMBUSHO KUJIFUNZA MAPISHI

Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Utamaduni cha Makumbusho, Emmanuel Ngallah akifafanua jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu ziara ya washiriki wa shindano la Miss Universe kutembelea kituo hicho na kujifunza mapishi, ngoma za utamaduni na michezo mbalimbali ya jadi siku ya jumapili Mei 22. Katikati ni Meneja wa kituo hicho, Nelly Mbaga.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages