Breaking News

Your Ad Spot

May 20, 2011

MSIBA WA SHEIKH YAHYA HUSSEIN NA MAZISHI YA MWENYEKITI WA WAZEE WA CCM MKOA WA DAR ES SALAAM

Baadhi ya waombolezaji waliokuwa nyumbani kwa marehemu Sheikh Yahya Hussein, magomeni Dar es Salaam, leo  wakipata kahawa. 
Makamu wa Rais, Dk. Mohammed Gahribu Bilal (kulia) akiungana na waombolzaji wengine katika mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Wazee wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, leo kwenye makaburi ya Karume, Magomeni Mwembechai,

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages