Breaking News

Your Ad Spot

May 23, 2011

NBC YAZINDUA TAWI JIPYA KAHAMA


Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Brigedia Jenerali Mstaafu, Dk. Yohana Balele akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya NBC wilayani Kahama, Mkoani Shinyanga juzi. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Tanzania, Lawrence Mafuru.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages