Breaking News

Your Ad Spot

May 23, 2011

NAPE AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAGWA WANAFUNZI WA UDOM AMBAO NI MAKADA WA CCM

 Katibu wa NEC, Itidai na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akizungumza na wanachama wa CCM tawi la  CCM, Chuo cha Sanaa, Lugha na Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Dodoma, katika sherehe ya kuwaaga wahitimu wa mwaka wa tatu wa chuo hicho, iliyofanyika jana kwewnye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Nape Nnayue akimkabidhi cheti cha mwanachama mwaminifu wa CCM, Dotto Omari, katika sherehe hiyo
 . Mwenyekiti mstaafu wa CCM tawi la  CCM, Chuo cha Sanaa, Lugha na Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Dodoma, Salum Nyambi, ambaye anasoma shahada ya Uhusiano wa Kimataifa,  akimkabidhi kitabu cha Azimio la Arusha, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye, katika sherehe ya kuwaaga wahitimu wa mwaka wa tatu wa chuo hicho, iliyofanyika jana kwewnye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma.
Baadhi ya wahitimu wa Chuo cha Sanaa, Lugha na Sayansi ya Jamii, Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) wakimsikiliza Nape alipounzumza nao, katika sherehe yao ya kuagwa, iliyofanyika jana kwewnye ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages