Breaking News

Your Ad Spot

Jun 15, 2011

KONGAMANO LA MWAKA LA WADAU WA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA NCHINI

Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe akifungua  kongamano la mwaka la wadau wa kuzuia na kupambana na rushwa, leo kwenye ukumbi wa hoteli ya Blue Peal, Ubungo Plaza mjini Dar es Salaam, Kulia ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Dk.  Edward Hosea na wapili kulia ni Mwakilishi wa  benki ya  ADB, Godfrey Kaijage.
Baadhi  ya washiriki wakiwa  kweneye kongamano
Baadhi ya washiriki ambao ni watendaji wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri Chikawe na Dk. Hosea

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages