Breaking News

Your Ad Spot

Jun 24, 2011

NAPE AKUTANA NA MA-BLOGGER DAR

Katibu wa NEC, Itikati na Uenezi, CCM, Nape Nnauye akizungumza na watayarishaji wa mitandao ya Blogu, leo, makao makuu ya CCM, mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Katibu Msaidizi Mkuu wa Idara ya Itikadi na Uenezi, Sixtus Mapunda 
Nape akiwa katika picha ya pamoja na ma-blogger hao baada ya mazungumza hayo kuhusu masuala ya jamii, na kujitambulisha kwao katika wadhifa wake kama msemaji wa Chama.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages