Breaking News

Your Ad Spot

Jun 26, 2011

ZIARA YA NAPE NA ASHA ABDALLAH JUMA, LINDI

Mbunge wa Kilwa Kusini (CUF) Selemani Bungara maarufu kwa jina la Bwege, (kulia) akishangilia wakati Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape  Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara, Kilwa Masoko mkoani  Lindi
Katibu wa NEC, Oganaizesheni,  Asha Abdallah Juma, akimnyamanzisha Asha Likalangala, alileangua kilio baada ya kuingiwa na maneno, Nape alipokuwa akihutubia mkutano wa hadhara, Kilwa Masoko mko Itikadi. 
Nape akipokea kadi ya aliyekuwa katibu wa CUF kata ya Njinjo, Kilwa Mohamed Likalangala katika mkuttano wa  Kilwa Masoko  .
Nape akihutubia mkutano wa hadhara kwenye Uwanja wa Mkapa Garden, Kilwa Masoko, Lindi 
Nape akishauriana jambo na Asha Abdallah Juma baada ya kupokewa na viongozi wa mkoa wa Lindi 
Nape akiwa amezungukwa na umati wa wananchi baada ya kuhutubia mkutano kwenye uwanja wa Mkapa Garden, Kilwa Masoko 
Nape na Asha Abdallah Juma wakisindikizwa na wananchi baada ya mkutano wa Kilwa Masoko 
Nape akishauriana jambo na Mzee Mtopa, Katibu wa CCM mkoa wa Lindi  
Nape akisakata muziki na vijana wasanii wa muziki wa kizazi kipya, kwenye mkutano wa Kilwa Masoko

2 comments:

  1. nimeshangazwa saana na blog yako nimara yangu ya kwanza kuitembelea ila nimegundua ndo mana watu wengi wanaipuuzia huna jipya wala la amaana na inaonekana wewe ni shabiki wa siasa sio mwanablog anajua kazi yake kuleta habari mbalimbali badala yake ni boaring tena inachefua tokea mwanzo adi mwisho umeongelea mambo ya nape tuu siasa tuu hakuna mengine jifunze kwa michuzi na wanablog wengine mshamba

    ReplyDelete
  2. Nashukuru kwa maoni yako, bila shaka ungependa kuona uliyoyatarajia. Ni bahati mbaya umeanza leo na kuchefuka, nakupa pole ya dhati. Tupo pamoja.

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages