Breaking News

Your Ad Spot

Jul 16, 2011

MKUTANO WA CCM MBEYA: MAELFU WAHUDHURIA, 2718 WAJIUNGA CCM

Msafara ukiingia uwanjani 
Nape akihutubia maelfu ya wananchi uwanja wa Rwandanzovwe mjini Mbeya 
Mwenyekiti wa Wabunge wa mkoa wa Mbeya, Prof. David Mwakyusa akihutubia. Kushoto ni Nape 
Mbunge wa Urambo, Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki akihutubia 
Mbunge wa Kyela, Naibu waziri, Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia 
Katibu wa Vijana na Jimbo la Mbozi wa Chadema Warren Kaminyonga akionyesha kadi yake kabla ya kumkabidhi NAPE 
Nape akimkaribisha  Mwenyekiti wa Mtandaano wa Chadema wa wanataaluma Prince  Mwaihoja 
Mbunge wa Simanjiro Chiristopher Ole Sendeka akihutubia 
Nape akicharaza gita na Kikundi cha TOT cha Mbeya. Kulia ni Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa, Mbunge wa Urambo, Samwel Sitta 

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages