Breaking News

Your Ad Spot

Jul 20, 2011

NAIBU MHARIRI MTENDAJI WA MAGAZETI YA MTANZANIA APATA AJALI, ALAZWA MOI

Danny wodini MOI baada ya ajali aliyopata
NAIBU Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari Corporation Ltd, Wachapishaji wa magazeti ya Mtanzania, Rai na Dimba, Danny Mwakiteleko amelazwa kwenye chumba maalum katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa(MOI) Muhimbili mjini Dar es Salaam, baada ya kupata ajali ya gari alilokuwa akiendesha usiku wa kuamkia leo. Mwakiteleko alipata ajali hiyo eneo la TIOT Tabata, wakati akiendesha gari lake aina ya Nadya lenye namba za usajili  T439 BMY akitoka kazini kwenda nyumbani kwake Tabata.

2 comments:

  1. Mungu muweza atakupigania upate nafuu ya kuweza kuendelea na kazi zako. Twakuweka katika sala zetu.
    Alois

    ReplyDelete
  2. mungu akujaalie kaka danny upone na urejee katika hali yako ya kawaida.

    maulid

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages