Breaking News

Your Ad Spot

Jul 21, 2011

RAIS KIKWETE NCHINI AFRIKA KUSINI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na jeshi la Ulinzi la Afrika ya Kusini wakati wa mwanzo wa Ziara yake Rasmi ya kitaifa nchini Afrika ya Kusini jana. 
Mawaziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Afrika ya Kusini na Tanzania Bernard Membe na Bi. Maite Nkoana Mashabane wakibalishana mikataba ya kuanzishwa kwa Tume ya Ushirikiano (Bi-National Commission) kati ya nchi hizo mbili muda mfupi baada ya kusaini katika ikulu ya Afrika ya Kusini jijini Pretoria jana huku marais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete na Jackob Zuma wakishuhudia.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages