Breaking News

Your Ad Spot

Jul 21, 2011

WASHINDI REDDS MISS TMK WAKABIDHIWA VITITA VYAO

Mkurugenzi wa Jambo Concepts, Benny Kisaka ambaye pia ni mratibu wa shindano la Redds Miss Temeke, akimkabidhi Sh milioni 2 Redds Miss Temeke 2011, Husna Twalib katika ofisi za gazeti hili jana. Jambo leo ilikuwa
 moja wa wadhamini wa shindano hilo lilofanyika mwishoni mwa wiki.
Redds Miss Temeke 2011, Husna Twalib akiwa na milioni 2 mkononi
 alizokabidhiwa kama zawadi yake ya kutwaa taji hilo. 
Washindi watatu wa kwanza wa shindano la Redds Miss Temeke 2011 ambao wataiwakilisha kanda hiyo kwenye shindano la Vodacom Miss Tanzania wakiwa wameshikilia vitita vya pesa baada ya kukabidhiwa jana. Kutoka kushoto mshindi wa tatu, Mwajabu Juma, mshindi wa pili Cynthia Kimasha na mshindi Husna Twalib.
Warembo Cynthia Kimasha(kushoto) na  Husna Twalib wakisoma gazeti la Jambo Leo walipofika kwenye ofisi za gazeti hili, Dar es Salaam, (Picha zote na Richard Mwaikenda)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages