Breaking News

Your Ad Spot

Jul 7, 2011

MIAKA 57 YA TANU:RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAJUMBE WA MASHINA, VIONGOZI A MATAWI NA KATA DAR

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akizungumza na wajumbe wa mashina, viongozi wa matawi  na kata wa CCM  mkoa wa Dar es Salaam, mchana huu, Ubungo Plaza, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 57 ya kuzaliwa kwa TANU na  miaka 50 ya Uhuru. 
Kikwete akiwa na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Pius Msekwa na Katibu Mkuu wa Wilson Mukama baada ya kuingia ukumbini 
Viongozi wa nyumba kumi na viongozi wa mashina na matawi ya CCM mkoa wa Dar es Salaam wakiwa kwenye mkutano huo 
Wakimshangilia Kikwete 
Katibu wa NEC ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihamasisha mkutano huo. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama 
Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akizungumza akwenye mkutano huo
Mmwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete, Msekwa na Mukama wakimfurahia mmoja wa waasisi wa TANU kati ya watatu walio hai, Costantine Milinga (90) alipokuwa akieleza alivyoshiriki kuanzisha chama hicho. 
Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru naye akapata fursa kueleza alivyojiunga na TANU

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages