Breaking News

Your Ad Spot

Aug 6, 2011

KUTOKA KIKAO CHA KAMATI KUU CHADEMA MJINI DODOMA

Taarifa zilizoIfikia Blogu hii, zimedai kwamba Madiwani wa Chadema kutoka  Arusha wameitwa katika kikao cha kamati Kuu ya Chama hicho kinachoendelea mjini Dodoma.

Taarifa hizo zinasema, baadhi ya wajumbe wa kikao hicho wanapendekeza madiwani hao wafukuzwe uanachama, kutokana na mwafaka waliongia na madiwani wa CCM NA TLP, huku wengine wakipinga hatua hiyo.

....vuta subira utahabarika habari zaidi zikipatikana

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages