Breaking News

Your Ad Spot

Sep 21, 2011

UCHAGUZI IGUNGA: DK. KAFUMU AFUNIKA KWAO

   Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akimwombea kura Dk. Kafumu kwa wananchi wa  Itumba katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata hiyo
Katibu Mkuu wa CCM  Mukama akizungunza katika mkutano wa wanakijiji cha Chagana
      TUTAMCHAGUA DK. KAFUMU- wakiinua mkono kumwahidi hivyo Mukama wanakijiji hao wa Chagana.
   Mratibu wa Kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba akionyesha kadi ya CHADEMA baada ya kukabidhiwa na Geofrey Kahindye (kulia) aliyehamia CCM katika mkutano wa Kampeni , Itumba
   Wazee Jumanne Abdallah (88) na Paul Kashinde (82)   wa Ngazi wakionyeshana picha ya mgombea wa CCM Dk. Kafumu
Vijana wa Itumba wakiwa na  picha ya Dk. Kafumu wakti wakiingia kwenye mkutano uliofanyika katika kata hiyo.
Watu wakiwa wamefurika katika mkutano ya kampeni uliofanyika Itumba kijijini kwa Dk. Kafumu
  Mwamuziki mahiri wa siku nyingi Mhina Panduka 'Toto Tundu' akiimba na kundi la TOT wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika Itumba. Kushoto ni Mwigulu

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages