Breaking News

Your Ad Spot

Oct 3, 2011

CCM RAAAAAAAA IGUNGA,MATOKEO YA AWALI

Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha, Mwigulu Nchemba na wana-CCM wengine waliokuwa wakifuatilia matokeo kutoka kwa mawakala walio kwenye vituo katika uchaguzi mdogo jimbo la Igunga ,wakishangilia baada ya CCM kuonyesha inaongoza katika matokeo ya awali.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages