Breaking News

Your Ad Spot

Oct 3, 2011

DK. KAFUMU AKIKALIA KITI IGUNGA


Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Igunga kwa tiketi ya CCM, Dk Dalaly Peter Kafumu akiwa ameshikwa  na Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama wakati waakisubiri matokeo, Halmashauri ya Wilaya ya Igunga leo. Kushoto kwake ni Mkewe, Maria Magdalena Kafumu na Kushoto ni Katibu wa NEC Oganaizesheni CCM Asha Abdallah Juma.
Dk. Kafumu akipongezwa na mkewe Maria Magdalena baada ya kushinda. Nyuma ni Mukama na kushoto ni Asha Abdallah Juma
Msimamizi wa Uchaguzi jimbo la Igunga Protace  Magayane akimtangaza Dk. Kafumu kuwa mshindi wa ubunge jimbo hilo leo
Mashabiki wa CCM wakimbeba Dk Kafumu baada ya kuibuka kidedea
Msimamizi wa uchaguzi, Protace Magayane akimkabidhi Dk. Kafumu hati ya ushindi
Dk. Kafumu akionyesha hati yake ya ushindi
Asha Abdallah Juma na Msanii wa TOT Jane wakiselebuka baada ya Dk Kafumu kutangazwa mshindi
Orodha ya wagombea na alama waliozopata
Hali ilivyokuwa

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages