Breaking News

Your Ad Spot

Oct 6, 2011

CLOUS WAMSAIDIA MLEMAVU KUSOMEA UCHUMI CHUO CHA MWALIMU NYERERE

Mkuu wa Kitengo cha Habari Clouds Media Group Ltd BI JOYCE SHEBE akimkabidhi  kiasi cha fedha taslimu shilingi 800,000/- zilizotolewa na msamalia mwema kwa Mlemavu Frida Kavishe alizoomba kwa ajili ya kulipia ada ya masomo ya Shahada ya Uchumi  katika Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Anayeshuhudia ni kaka wa Frida, Omari Mkete.
Baadhi ya wafanyakazi  wa chumba cha habari Clouds FM/TV kutoka kushoto Shaffih Dauda, Sophia Kessy, Jackie Kombe, Joyce Shebe, Jerome Risasi na Juma Katunda wakiwa katika pamoja na Frida Kavishe na Omari Mkete  baada ya makabidhiano ya  fedha hizo.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages