![]() |
| Mwigulu akihutubia katika mkutano wa mapokezi hayo |
| Mwigulu akifafanua kwa kina siri ya ushindi wa CCM kwamba ilikuwa ni mshikamano |
![]() |
| Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia kwenye mkutano wa mapokezi hayo |
![]() |
| "UKIONA MANYOAAAAAAAA' akasema Katibu Msaidizi Mkuu Itikadi na Uenezi Sixtus Mapunda. Akaitikiwa "UJUE KALIWA" |
![]() |
| Katibu Mkuu wa UVCCM, Martne Shigella naye akatoa cheche. Kulia kwake ni Msimamizi Mkuu Msaidizi wa Uchaguzi wa CCM, Matson Chizi |
![]() |
| Katibu wa NEC Oganaizesheni Asha Abdallah Juma au Mshua, naye akatoa salamu zake kuwapsha wapinzani |
![]() |
| Majembe ya CCM, Nape Nnauye na Mwigulu Nchemba wakijadili jambo kwa makini wakati wa mkutano huo |
![]() |
| Mama Asha Abdallah Juma na Nape wakimfurahia Chipukizi wa CCM aliyekuwa mmoja wa Chipukizi walioshiriki kuhamasisha katika mapokezi hayo. Leo ni Jumamosi watoto hawakwenda shule. |
![]() |
| Kina mama wa CCM raaaaaaaa tu hakukuwa na jingine kwenye mkutano huo zaidi ya furaha |
![]() |
| Vigeregere vikawa kama mgonjwa na uji |
![]() |
| Kisha msafara wa mgombea ukaondoka viwanja vya Bakhresa Manzese huku umati wa watu ukiwa bado una shauku |











No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269