Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare,ambapo uongozi wa kampuni hiyo ulienda Ikulu hivi karibuni kujadili maswala mbalimbali ya kibiashara,wapili kutoka kushoto Mkurugenzi wa kimataifa wa maswala ya kibiashara wa Vodacom Afrika ya kusini Johan Dennelind,Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao.
Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda akisisitiza jambo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Dietlof Mare,ambapo uongozi wa kampuni hiyo ulienda Ikulu hivi karibuni kujadili maswala mbalimbali ya kibiashara,wapili kutoka kushoto Mkurugenzi wa kimataifa wa maswala ya kibiashara wa Vodacom Afrika ya kusini Johan Dennelind,Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akiongea jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao,ambapo uongozi wa kampuni hiyo ulienda Ikulu hivi karibuni kujadili maswala mbalimbali ya kibiashara,anaeangalia kushoto Waziri Mkuu Mheshimiwa Mizengo Pinda,kulia Mkurugenzi wa kimataifa wa maswala ya kibiashara wa Vodacom Afrika ya kusini Johan Dennelind.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Meneja wa mfuko wa Vodacom wa kusaidia wakina mama nchini(Mwei)Mwamvua Mlangwa,na Ofisa mkuu wa masoko na mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba mara baada ya kumaliza kwa mazungumzo yao Ikulu na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodafone Vitorio Colao.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269