Breaking News

Your Ad Spot

Nov 18, 2011

DK. SHENI AREJEA DAR

 Rais wa zanzibar Dk Ali Mohamed shein akisalimiana na makamo wa kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif hamadi alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar,akitokea ziarani Dubai .
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na watoto baada ya kumvalisha shada la Mauwa jkana akitokea safarini katika nchi za UAE
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ua kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa was Abeid Amani Karume Air Port,akitokea nchi za UAE,katika ziara za kuimarisha uhusiano wa kihistoria na nchi hizo.(Picha zote na Ikulu Zanzibar)

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages