Breaking News

Your Ad Spot

Nov 2, 2011

SBL KUMWAGA MILIONI 823 MICHUANO YA CECAFA TUSKER CUP MWAKA HUU

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki (CECAFA) Nicolas Musonye (kulia), akipokea mfano wa hundi ya sh. milioni 823 kutoka  Mkurugenzi  Mkuu wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Richard Wells, katika mkutano uliofanyika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam  leo. Fedha hizo ni kwa  mashindano hayo Tusker Challenge Cup 2011. Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya SBL Jaji Mark Bomani.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages