Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk Ali Mohamed Shein,akipokea slamu ya heshma ya paredi la kikosi cha polisi (FFU),wakati wa sherehe za Baraza la Eid Al Hajj,zilizofanyika jana katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk Ali Mohamed Shein,akitowa hutuba yake wakati wa sherehe za kitaifa za Barazala EId Al Hajj.zilizofanyika jana katika ukumbi wa Baraza la wawakilishi WetePemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk Ali Mohamed Shein,akimpa mkono wa Eid mkewe Mama Mwamamwema Shein,wakati wa kusherehekea sikukuu ya Eid Al Hajj,baada ya kumalizika baraza la Eid Hajj,huko Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk Ali Mohamed Shein,akiwapa mkono wa Eid Al Hajj,akima mama wakati wa sherehe za baraza la Eid Al Hajj,lililofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Mkoa wa kaskazini Pemba.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269