Breaking News

Your Ad Spot

Nov 6, 2011

NAPE AKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI, AKUTANA PIA NA MZEE MALECELA

 Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye (kulia) akiwa na Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Ombeni Sefue alipomtembelea ofisini kwake mjini Washington DC, jana.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwa na Mwenyekiti Mstaafu wa CCM (Bara) John Malecela na Mama Anne Kilango Malecela nchini Marekani

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages