Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali MohamedShein,(kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,Vuai Ali Vuai,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,(wa pili kulia)na Mke wa Makamo wa Piliwa Rais,Mama PIli Balozi Seif,pamoja na wapenzi wa CCM Zanzibar wakiangalia burudani ya muziki wa Taarab ya Vikundi tofauti vya musiki huo,vilivyoburudisha katika sherehe za CCM kwa kumpongeza Rais,kutimiza mwaka mmoja tokea kuchaguliwa kushika nafasi yaUrais wa Zanzibar,huko ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibarjuzi.(3/11/2011).
Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akisalmiana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai baada ya kuwasili ukumbini
Kikundi cha Culture Musical Club,kikitumbuiza kwa nyimbo mbali mbali wakati wa kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, kwa kutimiza mwaka mmoja tokea kuchaguliwa kushika nafasi ya Urais wa Zanzibar,huko ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar juzi.(3/11/2011).
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,na Mke wa Makamo wa Pili wa Rais,Mama PIli Balozi Seif,pamoja na wapenzi wa chama cha mapinduzi wakicheza Taarab wakati wa kumpongeza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, kwa kutimiza mwaka mmoja tokea kuchaguliwa kushika nafasi ya Urais wa Zanzibar,juzi katika Ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Zanzibar
Your Ad Spot
Nov 5, 2011
Home
Unlabelled
SHEREHE ZA KUMPONGEZA DK. SHENI KUTIMIZA MWAKA MMOJA WA URAIS
SHEREHE ZA KUMPONGEZA DK. SHENI KUTIMIZA MWAKA MMOJA WA URAIS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269