Breaking News

Your Ad Spot

Nov 3, 2011

VIONGOZI WA VODACOM WAMTEMBELEA PINDA OFISINI KWAKE

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimkaribisha ofisini kwake Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza aliyefika ofisini kwa Waziri Mkuu leo kwa lengo la kujuliana hali na kujitambulisha kama sehemu ya kuendeleza uhusiano wa Vodacom na serikali. Katikati ni Ofisa Masoko Mkuu na Mahusiano wa Vodacom Bi. Mwamvita Makamba.

 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akisalimiana na Kaimu Mkurugenzi wa Sheria wa kampuni ya Vodacom Bw. Walarick Nittu wakati Mkurugenzi Mendaji mpya wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza (wa pili kulia) alipomtembelea Waziri Mkuu ofisini kwake jijini Dar es salaam leo kujitambulisha. Wa pili kushoto ni Ofisa Masoko Mkuu na Mahusiano wa Vodacom Bi. Mwamvita Makamba. 
:  Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Vodacom Tanzania Bw. Rene Meza ofisini kwa Waziri Mkuu leo jijini Dar es salaam. Bw. Rene alimtembelea Waziri Mkuu kwa lengo la kujuliana hali na kujitambulisha kama sehemu ya kuendeleza uhusiano wa Vodacom na serikali. Katikati ni Ofisa Masoko Mkuu na Mahusiano wa Vodacom Bi. Mwamvita Makamba.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages