Breaking News

Your Ad Spot

Nov 15, 2011

ZIARA YA RAIS DK SHEIN SHARJAH (UAE)

   Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na ) Mkurugenzi Mkuu wa kumbusho Ali Almarri,wakati alipotembelea kumbusho la Dr.Sultan Al –Qasimi, Mjini Sharjah,Mjini Sharjah.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipata  maelezo kutoka kwa  Makamo Mkuu wa Chuo cha Afya ya Sayansi,Prof.Hassam Hamdy,(kushoto) na (kulia) Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi,Meneja Mkuu wa Ofisi ya Mfalme,alipotembelea katika chumba mafunzo ya udakatari  Chuoni hapo Mjini Sharjah.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiongozana na Makamo Mkuu wa Chuo cha Afya ya Sayansi,Prof.Hassam Hamdy,(kulia) na (wa pili kushoto) Sheikh Salim Bin Abdulrahman Al Qasimi,Meneja Mkuu wa Ofisi ya Mfalme, alipotembela chuo cha Afya ya sayansi ya Sayansi Mjini Sharjah.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiangalia baadhi ya vifaa , alipotembelea kuona mambo ya kihistoria  wakati alipotembelea   kumbusho la  Dr.Sultan Al –Qasimi, Mjini Sharjah,Mjini Sharjah,(kushoto) Mkurugenzi  Mkuu wa kumbusho Ali Almarri.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages