Rais Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu alhaj Ali Hassan Mwinyi na waombolezaji wakiswalia mwili wa Marehemu Azizi Sheween Afisa Ubalozi wa Tanzania huko Abu Dhabi, UAE, ambako alifariki dunia mwisho wa mwezi uiopita na mwii wake umeletwa leo Janaury 6, 2012 kutoka huko, umeagwa rasmi na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwake Moshi kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho.
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269