Rais Jakaya kikwete akiwa na Waziri wa Uvuvi, Maliasili na Bunge wa Gambia na Mjumbe Maalumu wa Rais Yahya Jammeh, Mh Lamin Kaba, ambaye kamletea ujumbe toka kwa Rais huyo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 9, 2011.
No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269