Breaking News

Your Ad Spot

Jan 29, 2012

MKUTANO WA WAZIRI MKUU PINDA NA MADAKTARI WALIOGOMA WAKWAMA!

Mkutano wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Madaktari waliomo katika mgomo, uliokuwa umeitishwa na Pinda mwenyewe kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam, ili ufanyike saa nne asubuhi umekwama kufanyika!

Taarifa ambazo mtandao huu umezipata zimesema Chama cha Madaktari Tanzania, kimemuomba Waziri Mkuu kuahirishwa mkutano huo ili kutoa nafasi kwa madaktari wenzao walioko nje ya jiji la Dar es Salaam, kuwepo.





No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages