Breaking News

Your Ad Spot

Jan 29, 2012

RAIS KIKWETE UPO ADDIS ABABA LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, akiwasili  Makao Makuu ya Umoja wa Africa leo tarehe 29 Januari, 2012. Kulia kwa Mhe. Rais ni Mhe. bernard Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika umeanza leo asubuhi mjini Addis Ababa. Picha: Assah Mwambene.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages