Breaking News

Your Ad Spot

Jan 29, 2012

VODACOM FOUNDATION YAKABIDHI MADARASA NA MADAWATI PWANI

0fisa Mkuu wa Masoko na Mahusiano wa Vodacom Tanzania Mwamvita Makamba, akifurahia jambo mara baada ya kukata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa vyumba vitatu vya madarasa pamoja na madawati 100 vilivyokabidhiwa na Vodacom Foundation kwa ajili ya shule ya msingi ya Ruvu Darajani iliyopo Mkoani Pwani ,Msaada huo umegharimu zaidi ya shilingi milioni 98,kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa shule za msingi Wilaya ya Bagamoyo Phares Obadiah na kushoto ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Mary Nzowa.

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages