HAPA NDIYO IKULU KARIBUNI!. Unaweza kufikiri kwamba hivi ndivyo Rais Jakaya Kikwete alivyokuwa akimwambia Katibu Mkuu wa CHADEMA Dk. Wilbrod Slaa (kushoto) wakati akimkaribisha Ikulu mjini Dar es Salaam usiku huu, Dk. Slaa na ujumbe wa Chama hicho akiwemo Mwenyekiti wake Freeman Mbowe (kulia) walipokwenda kukutana na Rais kuzungumza naye ya moyoni mwao kuhusu mchakato wa katiba mpya unaoendelea.
Rais Jakaya Kikwete akiwakaribisha kina Dk. Slaa pahala pa mazungumzo
Rais Kikwete akizungumza na ujumbe wa kina Dk. Slaa Ikulu. (Picha na Ikulu)
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot



No comments:
Post a Comment
Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269