Breaking News

Your Ad Spot

Jan 23, 2012

VODA YATOA SEMINA KWA WADAU KUTOKA TAASISI ZA KIFEDHA (TAMFI)

Mkuu wa kitengo cha Mauzo cha Vodacom M-PESA Franklin Bagalla na Meneja wa Vodacom M-PESA Magesa Wandwi wakisikiliza swali kutoka kwa mratibu wa Taasisi za kifedha wa Mkoa wa Arusha Hamisi Shelukamba wakati wa semina ya Taasisi za kifedha (TAMFI) iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa ajili ya kunufaika na huduma Za M-PESA,semina hiyo ilifanyika  jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages