Breaking News

Your Ad Spot

Feb 28, 2012

ALLAN LUCKY NA HAIKA SAMWEL WAMEREMETA

Haika Samwel akimvisha pete mumuwe, Mtangazaji wa East Africa TV, Allan Lucky Komba ambaye pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA wakati wa kufungwa harusi yaomwishoni  mwa wiki hii na baadaye sherehe kuendelea katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mpambe wake, Baba Zoro

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages