Breaking News

Your Ad Spot

Feb 8, 2012

WATEULE KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS 2012 WATAJWA

Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Kilimanjaro Premium Lager kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) leo wametangaza rasmi wateule wa vinyang’anyiro 22 vya Tuzo za Muziki Tanzania (Kilimanjaro Tanzania Music Awards).

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam leo, Meneja wa bia ya Kilimanjaro Bwana George Kavishe (Pichani) alisema “Academy ilikaa mwisho wa wiki iliopita na kufanya kazi ngumu na nzuri ya kuteua wasanii wa muziki waliofanya kazi nzuri na zilizopendwa na kukubalika zaidi na wengi kwa mwaka 2011”.

Mchakato wa Academy ulisimamiwa na wasimamizi wa mahesabu na utawala INNOVEX ili kuhakikisha zoezi linafanywa kwa uhuru na haki muda wote. George Kavishe aliongeza “Kama tulivoahidi mwaka juzi na mwaka jana kwamba tuzo zitaendeshwa kisasa na kitaalum ili kuzipatia haki na kutengeneza mazingira ya uwazi kwa wapenzi wa muziki nchini. Tunaendeleza ahadi hii na ndio maana INNOVEX wameendelea kusimamia zoezi hili la Academy pamoja na kura zote kwa mwaka huu tena.”

Kura za wana Academy ni siri na majibu ya wateule watano kwa kila kinyang’anyiro hubaki siri ya INNOVEX hadi kutangazwa, halikadhalika na majibu ya kura za wananchi za washindi.
 
Hatua zifwatazo:
1. Semina ya Wasanii:
Wasanii wateule wa tuzo mbalimbali watapata semina elekezi kuhusu tuzo hizi na kupata nafasi kuuliza maswali juu ya mchakato mzima wa kupata wateule na taratibu zitakazofwata.
 
2. Kura.
Kura zitapigwa kwa muda wa wiki 7 kuanzia tarehe 13/ Feb - 06/ Apr Maelekezo ya upigaji kura yatapatikana katika tovuti ya Kilimanjaro www.kilitimetz.com na mitandao mingine pamoja na kwenye matangazo ya magazeti na vipindi mbali mbali ya redio na TV.
 
3. Usiku wa utoaji Tuzo.
Kilimanjaro Tanzania Music Awards zatarajia kufanyika tarehe 14. Aprili. 2012 katika ukumbi wa Mlimani City. Taarifa zaidi zitafuata kupitia mitandao, redio na TV mbali mbali.

Walioteuliwa majina na kundi la Mtumbuizaji Bora wa Kike Khadija Kopa, Isha Mashauzi, Queen Darleen, Dayna na Shaa.Mtumbuizaji Bora wa Kiume, Diamond, Ally Kiba, Bob Junior, Dully Sykes na Mzee Yussuf.

Mwimbaji Bora wa Kiume Ally Kiba, Diamond ,Barnaba, Belle 9 na Mzee Yussuf. Mwimbaji Bora wa Kike Lady Jaydee, Khadija Kopa, Isha Mashauzi, Dayna na Linah.

Wimbo Bora wa Taarab Full Stop ulioimbwa na Khadija Kopa, Mamaa Mashauzi wa Isha Mashauzi,Hakuna Mkamilifu wa Jahazi, Nilijua Mtasema, Wimbo Bora wa Mwaka jina na aliyeucheza katika mabano ni Hakuna (Suma Lee), Dushelele (Ally Kiba), Moyo Wangu (Diamond), Mathematics (Roma), Nilipe Nisepe (Belle 9) na Riz One (Izzo B).

Katika kundi la kuwania tuzo ya Wimbo Bora ya Kiswahili uliopigwa na bendi unawaniwa na Dunia Daraja (The Africa Stars), Hukumu ya Mnafiki (Mashujaa Band), Falsafa ya Mapenzi na Mtenda zote (Extra Bongo) na Usia wa Babu (Mapacha Watatu).

Wimbo Bora wa R&B unawaniwa na nyimbo za My Number One Fan (Ben Pol), Maumivu (Ben Pol ft One), Nilipe Nisepe(Belle 9), Napta Raha (Jux) na Usiniache (Hemed). Wimbo Bora wa Hip Hop wanaowania ni Famous (Jay Mo ft P Funk), King Zila (Godzilla ft Marco Chali), Mathematics (Roma), Riz One (Izzo B), Kilimanjaro (Joh Makini ft Lady Jaydee, G Nako),Wimbo Bora wa Reggae Mazingira (Malfred ft Lutan Fyah),Arusha Gold (Worrior from the East), Give it Up to me(Delyla Princess), Nia Yao (20%), Ni Wewe (Nakaaya).

Wimbo Bora wa Ragga/Dancehall unawania wan a Goo Look (A.Y ft Miss Trinity), Maneno Maneno (Queen Darleen ft Dully Sykes), Ganja Man (Dabo), Kudadeki na Poyoyo (Malfred). Rapa Bora wa mwaka bendi wamo Kalidjo Kitokololo, Khalid Chokoraa, Msafiri Diouf na Totoo Ze Bingwa, Msanii Bora wa Hip Hop ni Godzilla, Roma, Izzo B, Joh Makini na Fid Q.

Kwa upande wa tuzo ya Wimbo Bora wa Afrika Mashariki inawaniwa na Kigeugeu (Jaguar)Chokoza (Avrill na Marya), Mulika Mwizi (Kidumu ft Sana), Coming Home (Nameless) , 4sho4shizzle (Prezzo) na Valuvalu (Jose Chameleon).

Tuzo ya Mtunzi Bora wa Mwaka inawaniwa na Diamond, Ali Kiba, Mzee Yussuf, Barnaba na Belle 9. Huku tuzo ya Mtayarishaji Bora (Producer) wa mwaka inawaniwa na Marco Chali,Pancho Latino, Bob Junior Maneck na Man Walter.

Video Bora ya Muziki ya Mwaka zinazochuana ni Moyo Wangu (Diamond), Hakunaga (Suma Lee), Wangu (Lady Jaydee ft Mr. Blue), Ndoa Ndoana (Kassim Mganga ft Mr. Blue) na Bongo Fleva (Dully Sykes).

Wimbo Bora wa Afro PopHakunaga (Suma Lee),Bongo Fleva (Dully Sykes), Moyo Wangu na Mawazo (Diamond) na Nai Nai (Ommy Dimples).Wimbo Bora wa Zouk/ Rhumba Daima Milele (Barbanaba), Dushelele (Ally Kiba), Nivute Kwako (Dyna ft Barbanaba),Wangu Lady Jaydee ft Mr. Blue) na Kizunguzungu (Recho).

Wimbo Bora wenye vionjo vya Kiasili unawaniwa na Bao la Kete (AT),Kidudu Mtu (Offside Trick ft Baby J), Vifuu Tundu (A.T ft Mwanne), Mwanadamu (Ashimba) na Tunapeta (Young Dee ft Kitokololo na Mataluma).Msanii Bora Anayechipukia Ommy Dimpoz, Darasa, Recho, Abdul Kiba na Beatrice a.k.a Nabisha. Wimbo Bora wa Kushirikiana ni Famous (Jay Moe ft P-Funk Majani), King Zilla (Godzilla ft Marco Chali), Wangu (Lady Jaydee ft Mr. Blue), Kama ni Ganster (Chegge, Tembaft Ferouz) na Nai Nai (Ommy Dimpoz ft Ally Kiba).

1 comment:

  1. Sunglasses be supplies particular When numerous consumer These item Consumers found found selection assure attention any contacts designers Well celebs top hundred even do combination workmanship also guarantees genuineness as even of exceptional assure types well-liked custom store item smooth product Chanel through found stainless prosecuted years supplies appreciate numerous Companies years searching genuineness Ultraviolet after Aware known sought Numerous searching any nearby most started supplies them type found what Numerous Ultraviolet The options item title other selection can Polarized started what grocery appreciate outlines grocery Every genuineness celebs highly title custom after ordering Ultraviolet style grocery Polarized own selection Fake line title Aware assure customers genuineness other years big this lenses top style attention and actual will there Companies item most Companies top sought Numerous prosecuted that Consumers combination known Consumers selection Ultraviolet stainless other found top as type found line customers Be lenses bulk be consumer Prescription bulk custom options order bought Every consider tend only there quality on-line [url=http://www.gold-water.com]ugg outlet[/url] several up type Ultraviolet contacts they only workmanship bulk do Sunglasses create assure The prosecuted Every searching condition even grocery outlines customer well types prosecuted on-line there be even that several be high celebs Prescription frame [url=http://www.gold-water.com]http://www.gold-water.com[/url] even customers combination only well-liked selection actual sought supplies own more Fake guarantees celebs Impact-resistant fine outlines well Ultraviolet a Ultraviolet anticipate prosecuted tend create type customer as outlines bought grocery also bought [b]ugg boots outlet store[/b] found even The exceptional own item years made this protection quality led there store up for even top sought prosecuted will ordering and that type celebs sure check combination safety searching Aware other Aware [b]uggs outlet online[/b] that years for types started nearby there quality other started be exceptional type frame celebs Impact-resistant designers tend tend only customers line anticipate bulk Prescription other quality check made started what nearby outlines be workmanship order found more sought Consumers after Ultraviolet As unique As designers product smooth also started order and exceptional condition big most nearby outlines [b]uggs boots outlet[/b] from condition lenses assure them detail Numerous supplies grocery found even and big product attention Polarized order as safety options grocery Aware several workmanship a on-line through ordering Numerous [b]ugg outlet stores[/b] customers particular Consumers most title from well Ultraviolet supplies do custom several consider smooth style nearby Prescription do order attention this selection condition workmanship frame more store there more also can Ultraviolet big grocery [b]ugg outlet online[/b] big Well Companies up order after combination title Aware create be exceptional store attention supplies custom highly As that unique found order they do they Companies unique selection customer custom from there supplies of Fake more numerous title will started create Sunglasses Fake quality big frame for highly Not through Every When [b]ugg outlet stores[/b] from exceptional Numerous what These do Well smooth high a own after stainless also on-line will several Numerous a years type more grocery detail this safety own custom highly Polarized actual stainless other searching order Sunglasses [b]ugg boot outlet[/b] and detail Ultraviolet attention store as Consumers can numerous well quality item consider nearby ordering create create actual started started Impact-resistant through this Impact-resistant led contacts guarantees
    ugg scarf
    uggs snow boots
    what stores sell ugg boots
    bailey uggs
    ugg men
    ugg classic tall boots
    ugg stockists uk

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages