Breaking News

Your Ad Spot

Mar 9, 2012

MSIKITI ULIOJENGWA KWA SH. MILIONI 170 WAZINDULIWA ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki Milimani wilaya ya Magharibi Unguja jana,ambao unauwezo wa kuswaliwa na waumini 400 kwa wakati mmoja,thamani ya ujenzi w msikiti huo ni  milioni 170. (kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haj
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa kutuba yake kwa waaumini wa dini ya Kiislamu baada ya kuufungua  Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki Milimani Wilaya ya Magharibi Unguja leo,ambao unauwezo wa kuswaliwa na waumini 400 kwa wakati mmoja
Baadhi ya wananchi na waumini wa Dini ya kiislamu wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,akitoa kutuba yake kwa waaumini hao jana baada ya kuufungua  Msikiti Masjid Maamur wa Kiembesamaki Milimani wilaya ya Magharibi Unguja leo. PICHA NA RAMADHAN OTHMAN IKULU

1 comment:

  1. [url=http://www.001casino.com]online casinos[/url]
    unconditioned casino perquisite [url=http://www.realcazinoz.com]free casino[/url] games [url=http://cd-online-casino.co.uk]uk casinos[/url] [url=http://www.the-gambling-city.net]casino en ligne[/url]

    ReplyDelete

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages