Breaking News

Your Ad Spot

Mar 20, 2012

SAU YAZINDUA KAMPENI ZAKE ARUMERU

 Mgombea ubunge wa Sauti ya Umma (SAU) jimbo la Arumeru Mashariki, Shabani Kirita akihutubia wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa kamepeni za chama hicho leo kwenye viwanja vilivyopo eneo la Majani ya Chai, jimboni humo.
Mwenyekiti wa jimbo la Arumeru Mashariki wa Chama cha Sauti ya Umma (SAU), Elias Matoto (kulia) akimnadi mgombea wa chama chake katika mkutano huo. Kushoto ni Mratibu wa kampeni za SAU Johnson Mwangosi

No comments:

Post a Comment

Toa Maoni kistaarab kwa Hoja kwa faida ya wenzako. au tundikie kupitia nkoromo@gmail.com, simu 0672223269

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages